Ubalozi wa Tanzania Riyadh umetangaza fursa za ufadhili wa masomo ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Mfalme Saud kilichopo riyadh.
Utaratibu wa maombi umewekwa katika tovuti ya chuo hicho na mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 18.
Zaidi tembelea tovuti ya ubalozi wa Tanzania na Chuo ama soma zaidia